cover

Nakupenda Wewe - Prosper Kenneth

如无法下载或有错误,请刷新重试或点此 反馈 给我们
Nakupenda Wewe-Prosper Kenneth.mp3
[04:19.0]Moyo wangu wakuadhimisha wewe [04:19.0]Ma...
[04:19.0]Moyo wangu wakuadhimisha wewe
[04:19.0]Maana umeijaza amani yako
[04:19.0]Umehakikisha kwako niko salama
[04:19.0]Umehakikisha nimejazwa pendo lako
[04:19.0]Kwako nina ujasiri
[04:19.0]Nina furaha ipitayo zote
[04:19.0]Kwako nina ujasiri
[04:19.0]Nina furaha ipitayo zote
[04:19.0]Nakupenda wewe
[04:19.0]Nakwitaji wewe
[04:19.0]We ndo kimbilio
[04:19.0]Langu la pembeni
[04:19.0]Nakupenda wewe
[04:19.0]Nakwitaji wewe
[04:19.0]We ndo kimbilio
[04:19.0]Langu la pembeni
[04:19.0]Mi nende wapi?
[04:19.0]Mi nende wapi?
[04:19.0]Furaha yako ndio nguvu yangu
[04:19.0]Furaha yako ndio nguvu yangu
[04:19.0]Mi nende wapi?
[04:19.0]Mi nende wapi?
[04:19.0]Furaha yako ndio nguvu yangu
[04:19.0]Furaha yako ndio nguvu yangu
[04:19.0]Mbaa Hee
[04:19.0]Hosanna Hosanna ndio jina lako
[04:19.0]Ulieianzisha safari yetu
[04:19.0]Mikononi mwako ukatuchora
[04:19.0]Na hemani mwako ukatuweka
[04:19.0]Kwa maana kwako
[04:19.0]Mungu nitatumika
[04:19.0]Kwa maana kwako
[04:19.0]Mungu nitanyenyekea
[04:19.0]Kwa maana kwako
[04:19.0]Mungu nitatumika
[04:19.0]Kwa maana kwako...
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Usiebadilika
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Ulochanzo cha yote
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Jemedari wangu
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Ulomwamba imara
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Usiebadilika
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Ulochanzo cha yote
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Jemedari wangu
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Ulomwamba imara
[04:19.0]Nakupenda wewe
[04:19.0]Nakwitaji wewe
[04:19.0]We ndo kimbilio
[04:19.0]Langu la pembeni
[04:19.0]Nakupenda wewe
[04:19.0]Nakwitaji wewe
[04:19.0]We ndo kimbilio
[04:19.0]Langu la pembeni
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Usiebadilika
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Ulochanzo cha yote
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Jemedari wangu
[04:19.0]Nakupenda
[04:19.0]Ulomwamba imara
[04:19.0]Nakupenda wewe
[04:19.0]Nakwitaji wewe
[04:19.0]We ndo kimbilio
[04:19.0]Langu la pembeni
[04:19.0]Oooh
展开